
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Barcelona imemgeukia kwa mara nyingine kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho, safari ikimtengea Pauni 130 milioni na mshahara mnono.
Barcelone imerejea Liverpool kwa maa ya tatu, baada ya dau lake la awali kukataliwa na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England.
Mbali na kutaka kumngoa kwa dau kubwa, Barcelona imepanga kumpa mshahara wa Pauni 137,000 kwa wiki ili kupata saini ya nyota huyo katika dirisha la usajili Januari, mwakani.
Barcelona imemuweka sokoni mchezaji Arda Turan ili kupata fedha za kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Brazil.
Endapo Barcelona itakosa saini ya kiungo huyo, imesema itamfuata katika usajili ujao wa majira ya kiangazi. Paris Saint Germain (PSG) nayo imejitosa kuwania saini ya Coutinh
Post A Comment: