
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Hispania.Barcelona imefikia makubaliano ya awali ya kutaka kumsaini mshambuliaji Antoine Griezmann, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ufaransa.
Mshambuliaji huyo wa Atletico Madrid amekuwa na msimu mbaya akiwa amefunga mabao mawili tu hadi sasa katika La Liga.
Pamoja na kuwepo kwa taarifa za Manchester United kwa muda mrefu, lakini ujio wa Barcelona umeongeza changamoto ya kuisaka saini ya Mfaransa huyo.
Gazeti la Le 10 Sport lilidai kuwa miamba ya Catalans imepiga hatua kubwa katika kuisaka saini ya Griezmann.
Mfaransa huyo alitegewa angejiunga na Man United msimu huu, lakini uamuzi wa Fifa kuzuia uhamisho wa Atletico ulikwamisha uhamisho huo.
Griezmann alisaini mkataba mpya uliongeza thamani yake mara mbili kutoka pauni 85milioni hadi pauni170m endapo atauzwa.
Huku uwezo wa Luis Suarez katika kuzifumania nyavu ukiwa umeshuka, jambo linalowafanya Barcelona kurudi sokoni kutafuta mshambuliaji mwingine.
Post A Comment: