
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi 🇵🇪🇵🇪
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group amefunguka na kuwapa siri vijana wa Tanzania kuwa wanapaswa kujikita zaidi katika kilimo kwani ndipo sehemu ambayo ina pesa nyingi sana.
Dewji alisema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na moja ya kituo cha habari na kusema kuwa yeye anatengeneza fedha nyingi zaidi kupitia kilimo ambacho anakifanya na kwamba anatengeneza faidi kubwa kupitia kilimo cha chai, korosho na katani.
“Niwambie siri moja vijana wenzangu kuna pesa nyingi sana kwenye kilimo, mimi nipo kwenye kilimo nipo kwenye katani, nipo kwenye chai, nipo kwenye korosho na ninatengeneza fedha nyingi sana kupitia kilimo” alisisitiza Mo Dewji.
Mbali na Mohammed Dewji watu wengine maarufu ambao wamejikita kwenye kilimo ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu wa awamu ya nne Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe.
Post A Comment: