
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangala amewataka wabunge kutokubeza juhudi zinazofanywa na Rais John Magufuli ikiwemo ununuzi wa ndege kwani ni sehemu ya kipaumbele cha nchi
βHakuna tatizo la kununua ndege kwani zinasaidia katika sekta ya utalii, kwani kuna watu wanasema mpango huo ni wa kukurupuka, sisi tulioko katika sekta hiyo tunakereka sana kusikia kauli hizo,β amesema Kigwangala.
Amesema Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi lakini inashangaza kuona inashindwa kuvitumia kutokana na kuwa na miundombinu mibovu ikiwemo katika shirika la ndege
Alisema nchi ya Ethiopia wamenunua ndege 10 kwa hiyo hakuna shida wala tatizo lolote kwa kununua ndege na akamuomba Rais kuendelea na mpango huo ili zinunuliwe ndege zaidi.
Post A Comment: