
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi 🇵🇪🇵🇪
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
NYOTA aliyetamba na wimbo wa ‘Hello’ Adele Adkins, amekataa kufanya shoo mbili zenye thamani ya pauni milioni 1, ambazo ni zaidi ya bilioni 2 za Kitanzania.
Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 29, mapema wiki hii alipelekewa mkataba na meneja wake ili ausaini kwa ajili ya kwenda Bara la Asia kufanya matamasha mawili ya muziki, lakini alidai hawezi kwa kuwa anapambana kuiweka sawa bustani yake.
Mapema mwaka jana msanii huyo alitajwa kuwa miongoni mwa wasanii wenye fedha nyingi kwa upande wa wanawake, huku akitajwa kuwa na jumla ya pauni milioni 52.5, zaidi ya bilioni 153.
“Nilimpelekea Adele mkataba wa kufanya matamasha mawili ya muziki barani Asia ukiwa na thamani ya pauni milioni 1, lakini baada ya kuusoma alidai hayupo tayari kwa kuwa anaweka sawa bustani inayozunguka nyumba yake,” alisema meneja wa msanii huyo.
Post A Comment: