Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema chama hicho kimeanza kufanya mageuzi ya makusudi ili kurejea kwenye misingi ya kuanzishwa kwake.


Katibu huyo mpya wa itikadi na uenezi wa Halmashauri Kuu ya CCM, amesema mageuzi hayo yanakusudia kukifanya kuwa cha watu, kuwasikiliza na kusimamia masilahi ya wanyonge ili kurejesha imani kwao katika vitendo vyote vya chama.

Polepole alisema hayo jana katika mahojiano na kituo cha redio cha Uhuru FM kinachomilikiwa na chama hicho tawala.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: