Mjumbe wa Heshiama wa mkutano mkuu wa Chadema,na Waziri Mkuu mstaafu wa awamu,Mhe Edward Lowassa mapema leo hii amewatakia watanzania wote na waamini wa dini ya kikristo nchini heri ya Krismass na Mwaka Mpya.

Zaidi video hapo chini inaujumbe kamili juu ya kile alichozungumza...!

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: