Vilio na simanzi juzi vilitawala katika kitongoji cha Kichari, Kijiji cha Umbwe Onana wilayani Moshi baada ya watoto yatima tisa kuondolewa kwa amri ya Mahakama kwenye nyumba ya marehemu baba yao waliyokuwa wakiishi.


Hali hiyo ilisababisha wakazi wa kijiji hicho kuamua kupiga kambi barabarani wakimuomba Mungu atende miujiza kwa yatima hao.

Wananchi hao wakiongozwa na baadhi ya viongozi wa dini, walisema kuwa watapiga kambi na kufanya maombi maalumu ya siku tisa kuwaombea watoto hao waliotolewa kwenye nyumba hiyo.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: