Wakati Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akiagiza hatua kali zichukuliwe dhidi ya walimu wa shule ya Mbeya Day wanaodaiwa kumshushia kipigo mwanafunzi, MKuu wa Shule na baadhi ya walimu wamechukuliwa na polisi kwa mahojiano asubuhi leo.


Hatua hiyo imekuja  baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mwanafunzi  huyo wa kidato cha tatu, Sebastian Chinguka akipigwa kikatili na walimu.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 28 baada ya mwanafunzi huyo kutofanya zoezi la somo la Kiingereza.  Zinaeleza kuwa walimu waliofanya kitendo hicho walikuwa kwenye mafunzo kwa vitendo.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: