Polisi Mkoani Geita wanamshikilia  kijana Samson Petro (18) mkazi wa Katoro wilayani Geita mkoani hapa Kwa tuhuma za kuteka watoto katika mikoa ya Arusha na Geita


Kijana huyo amekamatwa usiku wa Septemba 2 ,saa mbili usiku katika nyumba ya kulala wageni ya Shitungulu iliyopo mji mdogo wa Katoro.

Kamanda wa polisi mkoani hapa , Mponjoli  Mwabulambo amethibitisha kukamatwa Kwa kijana huyo na kusema polisi linaendelea na uchunguzi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani.


ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: