Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Taifa,Mhe Freeman Mbowe mapema leo amefunguka juu ya sakata la kupotea kwa Msaidizi wake Binafsi na kada wa Chama hiko Ben Saanane.

Mbowe akiwa mkoani Iringa amesema kuwa Chama kinashughulika juu ya kumtafuta na kufahamau mahali alipo Ben Saanane,zaidi tazama video hapo chini.


DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: