ads

Rais John Magufuli   leo Jumamosi ametoa msamaha mwanamuziki Nguza Viking pamoja mtoto wake  wake  Papi Kocha waliokuwa wakitumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kuwanajisi watoto.


Rais Magufuli ametoa msamaha huo wakati akihutubia maadhimisho ya shehere za Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika mjini Dodoma leo.

Familia hiyo imekaa jela tangu ilipohukumiwa adhabu hiyo Juni 5, 2004.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: