Unaweza kukiita ni mojawapo ya vituko vya kufungia mwaka, kama watu wanaweza kunywa maji ya chooni wakiwa kazini, tena wanazalisha mali.


Juzi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde alishuhudia wafanyakazi wa Kiwanda cha Kokoto cha Wadi Investment wakinywa maji yanayotumika chooni, hivyo kulazimika kusimamisha shughuli za uzalishaji hadi wamiliki watakaporekebisha hali hiyo.

Kitendo hicho kilionekana kumkera Mavunde aliyemtaka msimamizi wa kiwanda hicho, Yang Zhengda kunywa maji hayo kama yanafaa kutumia lakini raia huyo wa China aligoma.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: