Baada ya Donald Trump  wa Chama cha Republican kushinda Uchaguzi Mkuu wa Marekani, sasa anakabiliwa na kihunzi cha mwisho kinachoweka rehani urais wake.


Ni baada ya wafuasi wa Hillary Clinton aliyekuwa mgombea urais wa Democratic kuamua kukimbilia njia ya mwisho ya kushawishi wapigakura ya uamuzi (electoral vote) kuchagua chaguo lao.

Desemba 19, wapigakura 538 watakutana kwenye majimbo yao kupiga kura ya kisheria kumthibitisha rais mteule ambayo baadhi ya wafuasi wa Clinton wasiokata tamaa wanaona huenda ikawa ni mwanzo wa safari ya mwanamama huyo kuingia Ikulu.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: