Chadema imeunda kikosi kilichopewa jina la G5  Jimbo la Moshi Mjini ili kujihakikishia ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.


Kikosi hicho kimepewa jukumu la kusajili wanachama na kuwapatiwa kadi mpya za uanachama za kielektroniki, ambazo zina uwezo wa kuhifadhi taarifa zote.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema aliliambia gazeti hili jana kuwa, kikosi hicho kiliundwa juzi baada ya kupitia mafunzo maalumu yaliyowapiga msasa madiwani na wajumbe.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: