Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amekabidhi polisi majina ya watu 30 wanaodaiwa kuwa matapeli wa ardhi ili washughulikiwe.


Waziri huyo amelidokeza gazeti hili kuwa amekabidhi majina hayo kwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro ambaye alithibitisha kupokea majina hayo na kwamba tayari yameshafunguliwa majalada kwa ajili ya upelelezi.

β€œNi mapema mno kuzungumzia jambo hili, kwa sababu lipo kwa wapelelezi. Ni kweli majina haya tumeyapokea na tayari majalada yamefunguliwa,” alisema.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: