Mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi,Zanzibar Mh Ayoub Mohammed Mahmoud leo hii ameukabidhi rasmi mwenge wa uhuru kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera,Bunge,Kazi, vijana ,Ajira na  Walemavu Mhe Jenista Muhagama kwenye uwanja wa Aman.

Katika hotuba fupi ya kuukabidhi Mwenge huo,Mh Ayoub amesema kuwa tukio la kutamatishwa kwa mbio za mwenge visiwani Zanzibar ni la kipekee na la kihistoria.

Aidha Mh Ayoub ameishukuru Serikali kwa kukubali tukio hilo kufanyikia kwa mara ya kwanza Zanzibar.


ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: