
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi 🇵🇪🇵🇪
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Mmoja wa wasanii wanaounda lebo ya Wasafi (WCB), Raymond Shaban maarufu Rayvanny ametwaa tuzo ya African Act of The Year zinazotolewa na Uganda Entertainment Awards.
Kwa ushindi huo, msanii huyo amewabwaga Wizkid na Davido wa Nigeria na Vanessa Mdee wa Tanzania.
Rayvanny ameshinda tuzo hiyo ikiwa ni miezi michache tangu Juni 24, alipoandika historia katika tuzo kubwa za BET baada ya kuitwaa kwenye kipengele cha Viewer's Choice Best New International Act 2017.
Msanii huyo kutoka Mbeya alianza kutikisa katika muziki baada ya kuibuka kupitia mashindano ya Free Style mwaka 2011. Aliachia singo ya kwanza iliyoitwa “Upo Mwenyewe” akiwa chini ya lebo ya Tip Top Connection.
Raymond alilamba dume alipokubali kujiunga na Wasafi ambako amerekodi nyimbo kadhaa ukiwemo “Natafuta Kik” na “Kwetu” ambao ulifanya vizuri sokoni.
Post A Comment: