
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles John Mwijage ameaomba wawekezaji wa viwanda nchini India waje hapa nchini kuwekeza kwenye sekta za viwanda.
Hayo ameyasema jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, ambapo amedai kwamba kufika kwa wageni hao kutaleta chachu ya mabadiliko kwenye viwanda kwa kubadilishana uzoefu
Aidha Mh. Mwijage amewaomba wakulima wa kilimo cha mbaazi za aina mbalimbali walime kwa wingi ili kuendana na soko la nchini India ambapo nchini kwao zao hilo ni lulu.
Pia amewaomba wataalum wa Kompyuta kutoka nchini India kuja hapa nchini ili kubadilishana uzoefu na wataalam wa hapa nchini.
Post A Comment: