MSHAMBULIAJI wa Simba Laudit Mavugo, amesema bado ana matumaini ya kufanya vizuri kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, licha ya mashabiki kuonekana kukata tamaa naye.


Mashabiki wa Simba wamembadilikia mchezaji huyo na kuanza kumzomea kutokana na mchango mdogo anaoutoa kwa timu yao, jambo ambalo amesema linamfanya acheze kwa presha kubwa.

Mavugo alisema siku zote amekuwa akipambana kwa ajili ya kurudi kwenye kiwango chake, lakini anashangazwa na kinachoendelea kumtokea na kushindwa kuipa mafanikio Simba aliyojiunga nayo msimu huu akitokea Vital’O ya Burundi.

“Najua mashabiki wa Simba wanategemea mambo makubwa kutoka kwangu, nalifahamu hilo, lakini mambo yamekuwa tofauti na vile ninavyopanga.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: