
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Zaidi ya matangazo 900 ya kupotelewa vyeti vya elimu yametangazwa kwenye magazeti ndani ya siku 20.
Hiyo
inaonyesha kuwa uhakiki wa vyeti vya elimu unaofanywa na Serikali
umewatia kiwewe baadhi ya watumishi wa umma na hata wa sekta binafsi na
wengi wao sasa wanalazimika kutoa matangazo ya kupotelewa na nyaraka
hizo za taaluma kwenye magazeti.
Baada
ya Rais John Magufuli kuagiza uhakiki kwa watumishi wote wa Serikali
ili kubaini walio hewa, kazi hiyo ilikwenda sambamba na uchambuzi wa
taaluma.
Uchunguzi
uliofanywa umebaini kuwapo kwa idadi kubwa ya
watumishi waliotangaza kupotelewa vyeti katika magazeti.
Mwandishi
amepitia magazeti manne ya kila siku ya Kiswahili na kubaini kwamba
tangu Oktoba Mosi mpaka 21, watu 908 walikuwa wametangaza kupotelewa na
vyeti ikiwa na maana kwamba kwa wastani, kila mwezi kuna matangazo kama
hayo yapatayo 1,000 magazetini na tangu Januari, watu 10,000
wametangaza.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: