Articles by "Burudani"
Showing posts with label Burudani. Show all posts
Lady Jay Dee na Spicy wagandana ndi ndi ndi..

BAADA ya mwanadada ‘lejendari’ kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ kufanya vyema na Ngoma ya Together Remix aki...

Read more »
Aliyetumbuiza mbele ya Obama ala shavu kwenye albamu ya Diamond

KUPITIA albamu yake ya kimataifa inayoitwa A Boy From Tandale, msanii Abdul Naseeb ‘Diamond Platnumz’ amefanikiwa kumnasa na kumshiriki...

Read more »
Sherehe ya kuachiwa huru Babu Seya yasababisha kifo cha mdogo wake

FAMILIA ya mwanamuziki wa dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya’ aliyepewa msamaha na Rais John Magufuli imepata pigo, kutokana na kifo cha md...

Read more »
Bebe Cool - Watoto sita hawanitoshi jamani

NYOTA wa muziki nchini Uganda, Bebe Cool, baada ya wiki iliyopita kuthibitisha kuwa amepata mtoto wa sita, sasa amesema watoto hao hawa...

Read more »
Wolper - kwa mwanaume najali zaidi pesa kuliko mashine

Muigizaji wa filamu bongo ambaye sasa anajihusisha zaidi na ujasiriamali, Jackline Wolper, amesema anapenda wanaume wenye maumbile mado...

Read more »
Aslay - Tigo Fiesta 2017 imenibamba sana

TAMASHA la Tigo Fiesta 2017 lenye kaulimbiu ya ‘Tumekusoma’, linatarajiwa kuhitimishwa jijini Dar es Salaam Jumamosi hii kwenye viwanja...

Read more »
Serena William avaa gauni la harusi lenye thamani ya Bilioni 5

Jeuri ya fedha, hicho ndicho unachoweza kusema kwa Serena Williams aliyevaa gauni la harusi ‘shera’ lenye thamani ya pauni 2.6milioni (...

Read more »
P - Square watangaza kuuza jumba lao la kifalme la Lagosi

NYOTA wa muziki nchini Nigeria waliokuwa wanaunda Kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye, wametangaza kuuza nyumba yao iliyopo jijini L...

Read more »
Adele akataa kufanya Shoo ya bilioni 2 kisa  bustani ya nyumbani kwake

NYOTA aliyetamba na wimbo wa ‘Hello’ Adele Adkins, amekataa kufanya shoo mbili zenye thamani ya pauni milioni 1, ambazo ni zaidi ya bil...

Read more »
Lola Omotola: mwanamke anayetajwa kusambaratisha kundi la P Square

HABARI za kuvunjika kwa Kundi la P Square linaloundwa na mapacha Peter na Paul, si ngeni tena ingawa ziliwashangaza wadau wengi wa muzi...

Read more »
Beka Flavour - Ya moto band imeshakufa jamani..kila mtu yupo kivyakevyake siku hizi

Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavour amefunguka na kusema kuwa yeye kwa sasa hayupo tayari kurudi kwenye kundi la Yamoto Band na kudai u...

Read more »

Kama bado unaamini kuwa Hamisa Mobeto anamtumia mtoto wake kujiweka karibu na Diamond, ujumbe huu unakuhusu.

Read more »
V Money - Bado Sijafika Hata Robo ya Kile Ninachokitaka..!!!

MSANII wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee ‘V Money’, amesema kuwa bado hajafikia hata robo ya malengo aliyojiwekea kuyafanya kupitia fani ya m...

Read more »
Kundi la P Square Hatarini Kuvunjika Rasmi..Wake Zao Wadaiwa Ndiyo Chanzo Kikubwa..!!!

WAKATI  hapa Bongo tukiwa tumebakiwa na masalia ya Kundi la Yamoto Band, wiki hii kundi kutoka Nigeria linaloundwa na mapacha, Peter na...

Read more »
Mwakyembe - Tumeifuta Miss Tanzania kwa Kuwa Imejaa Ubabaishaji..!!!

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema wizara yake imefuta mashindano ya Miss Tanzania kwa saba...

Read more »
Diamond Awavurumishia Mashabiki Zake Matusi Mazito Instagram,,Kisa ni Mabetto..!!!

Katika hali ya kushangaza Diamond Platnumz amewatolea lugha chafu baadhi ya mashabiki zake ambao walikuwa wakimsema hasa kutokana na sa...

Read more »
Wakati Zari Akimtema Diamond Kwenye Instagram..Dj Khaled wa Marekani Amfollow Diamond..!!

WAKATI sakata la Diamond Platnumz kuchepuka na kuzaa nje ya uhusiano wake imara na Zari The Boss Lady likiendelea hadi mrembo huyo kumw...

Read more »
Lady Jay Dee Afunguka Jinsi Anavyomzimikia Aslay..!!!

Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee amekiri wazi kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Aslay na huwa anamsikiliza mara kwa mara.

Read more »
Zari na Diamond Wakorogana Mtandaoni..!!!

WANASEMA WBC ndio sehemu ambayo burudani nzuri huwa inatoka kwa sana, lakini pia ndio sehemu ambayo inaongoza kwa drama nyingi sana k...

Read more »
Lady Jaydee Afunguka ya Moyoni Juu ya Tukio la Tundu Lissu Kushambuliwa kwa Risasi..!!!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye jana ameachia kazi yake mpya ya 'I miss you', ametoa maoni yake juu ya hali ya sasa ina...

Read more »
Page 1 of 0