
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi 🇵🇪🇵🇪
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Kiungo mchezeshaji wa Simba Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amesema kati ya washambuliaji wanaotajwa kutua Simba, Ismaila Diara raia wa Mali ndiye anayestahili kuichezea timu hiyo
Diara anayeichezea Rayon Sports ni kati ya wachezaji wanaotajwa kutua Simba pamoja na Nahimana Shasir kutoka Rayon na Elias Maguli aliye na kikosi cha Kilimanjaro Stars kinachoshiriki Chalenji nchini Nairobi, Kenya.
Washambuliaji hao, wamepangwa kuongezwa kwenye usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa Novemba 15, kabla ya kufungwa Desemba15, mwaka huu.
Niyonzima amesema anawafahamu uwezo wa wachezaji wote wa Rwanda, lakini anafurahishwa na uwezo wale wa kufunga mabao Diara.
Niyonzima alisema, sifa yake nyingine aliyokuwa nayo mshambuliaji huyo ni uzoefu, umbile kubwa na nguvu alizonazo za kupambana na mabeki wakorofi wa timu pinzani.
“Kwanza nikwambie kitu kimoja, ligi kuu ya hapa nchini ni ngumu na ina ushindani mkubwa na changamoto nyingi, hivyo basi ni lazima umakini uwe mkubwa katika kusajili wachezaji.
“Mimi binafsi ninavutiwa na aina ya uchezaji wa mshambuliaji wa Rayon ambaye hivi sasa ndiye anayetegemewa katika timu yake kwa ajili ya kufunga mabao.
“Mshambuliaji huyo ndiyo kwanza kujiunga na timu msimu wake wa kwanza, lakini kama viongozi wakifanikisha usajili wake, basi tutakuwa tumelamba dume kwani ni mshambuliaji mwenye sifa zote tofauti na uzoefu wake wa mashindano ya kimataifa,”alisema Niyonzima.
Post A Comment: