
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Dereva Bajaji, Maksood Khan, 28 kutoka nchini India amefanyiwa upasuaji wa tumbo na kutolewa fedha aina ya sarafu 263 ndani ya tumbo lake pamoja na misumari 100.
Novemba 19 mwaka huu, Khan, alifikishwa katika hospitali Sanjay Gandhi iliyopo nchini India baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu.
Madaktari wa hopsitali hiyo awali waliamini kwamba alikuwa amelishwa sumu na kuamua kumfanyia vipimo vya X-rays iliyoonyesha vitu vingi vilivyomo ndani ya tumbo lake.
"Alikuwa akilalamika kuwa na maumivu zaidi ya mwezi mmoja, ila baada ya uchunguzi tumegundua alikuwa na ugonjwa wa shinikizo la damu na alikuwa katika hali mbaya," Amesema Dk Priyank Sharma.
"Tuligundua ndani ya tumbo kuna, minyororo, sarafu 263 na misumari karibu 100...Upasuaji ulichukua saa tatu kufanyika," Dk. APS Gaharwal, mkuu wa idara ya upasuaji wa jumla, aliiambia CNN.
Post A Comment: