
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Benchi la ufundi la Simba limetoa msisitizo kwamba nia yao ya kufanya usajili katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ipo palepale kutokana na mahitaji waliyonayo msimu huu.
Kocha msaidizi wa Simba, Masoud Djuma alisema pamoja na usajili mkubwa ambao Simba waliufanya wakati wa kipindi cha usajili wa mwanzo wa msimu huu, wataongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha ufanisi wa kikosi chao.
"Kuhusu usajili ndio maana kukawekwa kipindi cha usajili wa dirisha dogo kwamba timu zinaangalia nafasi zipi zinahitaji kuimarishwa na nani wanaostahili kuongezwa. Ukiangalia Simba inakabiliwa na mashindano mengi msimu hu yale ya ndani pamoja na ya kimataifa.
Hivyo ni lazima tuhakikishe tunakuwa na kikosi kipana na imara ambacho kitaweza kushiriki mashindano yoye bila shaka yoyote. Kwa hiyo naamini tutafanya usajili," alisema Djuma.
Simba imekuwa ikihusishwa na usajili wa wachezaji Shazil Haimana, Mohamed Rashid pamoja na Hassan Kabunda.
Post A Comment: