Hitilafu ya umeme iliyotokea katika gridi ya taifa imesababisha kukatika kwa umeme katika mikoa yote inayaounganishwa na gridi hiyo kukosa umeme.


Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Uhusiano ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco), jitihada za kurejesha umeme huo kwa haraka zinaendelea.

β€œShirika linaomba radhi kwa usumbufu lakini jitihada za kurejesha umeme huo uliokatika saa moja asubuhi you katika mikoa iliyoathirika zinafanyika,” imesema taarifa hiyo.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: