ads

Rais Obama alisisimua watu waliohudhuria dhifa ya jioni katika ikulu ya rais mjini Buenos Aires, Argentina baada ya kucheza densi maarufu ya tango na mnenguaji wa kike. Mkewe Michelle naye alicheza na mtumbuizaji wa kiume.


Dhifa hiyo iliandaliwa na mwenyeji wake Rais Mauricio Macri Jumatano.

Baada ya kumaliza, waliohudhuria waliwashangilia.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: