Mkuu wa Mkoa  wa Dar es Salaam,Paul Makonda leo hii amefunguka juu ya ni kwa nini aliamua kumchongea Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro kwa Waziri Mkuu majaliwa kuwa huenda anapokea rushwa ya wauza shisha.

Kupitia kipindi cha power breakfast,Makonda amejibu yafuatayo juu ya hatua yake hiyo ya kumchongea Kamanda Sirro

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: