Kituo cha televisheni cha mahubiri maarufu barani Afrika, Emanuel TV,
kimetoa video Youtube inayoonesha ziara ya mtumishi wa Mungu raia wa
Nigeria TB Joshua alivyofika ardhi ya Tanzania.
Video hiyo ya dakika 16 inaonenesha TB Joshua alivyopokelewa na Rais
Magufuli Airport, Ikulu alivyokutana na Rais mstaafu Kikwete, na
nyumbani kwa aliyekuwa mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa.
Pia kumeonyeshwa jinsi mtumishi huyo, alipofanya maombi maalum kwa mtoto mkubwa wa Rais Magufuli. Itazame hapo chini,
Post A Comment: