Katika mkutano mkuu uliofanyika usiku wa kumkia leo mjini Dodoma, Dk John Magufuli amechaguliwa kwa kura 1560 akifuatiwa na Asha-Rose Mingiro aliyepata kura 702 na Amina Salum Ali akipata kura 349.

Kutokana na matokeo ya kura hizo, Dk John Pombe Magufuli ndiye mgombea rasmi wa nafasi ya urais ndani ya chama tawala cha mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Kura halali zilikuwa 2422, zilizoharibika ni sita na halali ni 2414 kwa upande wa asilimia Dk Magufuli akiwa na alama ya 2014= 87.08%.

Amina 253=10.4%
Mingiro59=2.44%.

Matokeo. Magufuri kura 1368=62percent. Amina kura 462=28peecent.asharozi 203=10percent. Magufuri kura zimetosha.

Magufuli ndio mgombea rasmi wa uraisi kwa ticket ya CCM kutoka chanzo cha wahesabu kura.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: