Ali kiba Na Diamond wote tuliwatafuta na kuwauliza juu ya Beef yao inayoendelea lakini wote wamekanisha na kudai kwamba hakuna beef yeyote inayoendela kati yao
wasanii mbalimbali hasa watanzania wameonyesha sapoti kwa kupost picha za diamond na kuwahimiza watu  watu kumpigia kura kwenye tuzo za MTV , Lakini hii ni tofauti kidogo kwa msanii Ali kiba ambaye hajamuonyesha kumsapoti diamond, Ali Kiba ametoa sababu za kutomsapoti Diamond na kusema kuwa diamond hakumtumia Picha ya kupost laiti kama angemtumia angeweza kumsapoti kwani hata nilipokuwa nataka kutoa nyimbo yangu ya cheketua niliwatumia picha wasanii wenzangu nao walinisapoti.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: