Nick Minaj na Meek Mill ni wapenzi Meek Mill amesema atakuwa na furaha sana kama Nick Minaj atamzalia mtoto
Meek Mill amefunguka katika mahojiano ya kipindi cha redio cha Dj Whoo Kid Alipoulizwa kama anamaono ya kujenga familia na nick Minaj. Rapper Huyo Wa MMG Alisema anatamani Nick angekuwa na ujauzito wake lakini hana.
baada ya muda mfupi mashabiki walipost ombi hilo la Meek na KUmtag Rapper huyo wa young money,nick alijibu tweets kadhaa kabla ya kutoa sharti lake kuwa hawezi kumzalia mwanaume yeyote bila kufunga nae ndoa "No matter wut he, or anyone else says, onika tanya maraj won't b punish anyone1 out her vajayjay, until she's marred , now chek that. aliandika nick

Post A Comment: