Baada ya kulitumikia Taifa kwa muda wa miaka 10, Raisi kikwete anatarajia kumaliza muda wake mwezi wa kumi mastaa kadhaa wamemuandikia mheshimiwa raisi maneno ya kumuaga ,raisi kikwete ambaye naye ni shabiki mkubwa wa muziki wa bongo fleva
diamond ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram>>>hakika mhe raisi alitukuta kulee...sasa anatuacha hapa tulipo juu zaidi...dah daima tutakukumbuka kwa mengi mema uliyotufanyia.
Post A Comment: