
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Mbunge wa zamani wa Muhambwe (NCCR-Mageuzi), Felix Mkosamali amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM.
Mkosamali amesema ana imani na upinzani imara. Ametaka kupuuzwa kwa taarifa kuwa anakwenda CCM kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli.
βMsimamo wangu upo palepale na kama wamezusha ni wao na sababu zao. Watu wamenipigia simu kuniuliza kuhusu jambo hili. Sijaeleza lolote kuhusu kuhama NCCR. Watanzania tunahitaji upinzani imara, kuhama hatumsaidii Rais unaweza kumsaidia ukiwa hukuhuku upinzani,β amesema.
Post A Comment: