Kikao cha mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi 2015 kinaendelea muda huu mjini dodoma baada ya kuahirishwa jana usiku, kikao hicho kinatarajia kumtangaza mgombea uraisi wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi okboba mwaka huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo bonyeza hapa>>>>MKUTANO MKUU LIVE
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: