Aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amewashukuru Watanzania waliompongeza na kuunga mkono uamuzi wake wa kujiondoa ndani ya chama hicho.


Pia, amesema si jambo la busara kuzushiana uongo.

Nyalandu ametumia akaunti zake za kijamii za Twitter, Facebook na Instagram kutoa kauli hizo siku mbili baada ya kutangaza uamuzi wa kujivua nafsi zote ndani ya CCM ikiwemo ubunge.

Pamoja na Nyalandu kueleza hayo amefunguka zaidi kwenye mahojiano maalum na Gazeti la Mwananchi ambayo yatachapishwa kesho Alhamisi
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: