Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Diwani wa kata ya Sombetini mkoani Arusha, Ally Bananga (CHADEMA) amewataka madiwani waliopo ndani ya chama chao wanaotaka kuhama waondoke mapema kwani wakigundulika ni wasaliti kipindi cha uchaguzi watawatawanya viungo.
Bananga amesema hayo huku kukiwa na mfululizo wa matukio ya madiwani wa CHADEMA kuhama kwa tuhuma za kupokea rushwa, ambapo ameweka wazi kwamba anaamini CHADEMA hawana tatizo madiwani kuhama chama, kwani ni uhuru kama ilivyo kwa mashabiki wa Timu ya Simba kwenda Yanga kwa ajili ya maslahi yao.
"Sina tatizo kwa madiwani kuhama hata kidogo, lakini kama ni kuhama kwa kununuliwa kama hivi tunavyoona hili ni tatizo na kama huna imani na sisi ondoka mapema kwa amani kwani sisi tunaelekea kwenye uchaguzi na tunaamini tutashinda kata zote",. amesema Bananga
sasa isije ikatokea mbeleleni tukakugundua kwamba wewe ni msaliti maana tutatawanyana viungo kitu ambacho siyo kizuri. Ondokeni kwa amani yote sasa hivi mapema" - Bananga.

Post A Comment: