
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Mwili wa mtoto ambaye anakadiriwa kuwa wa siku moja umeokotwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika eneo la Mtaa wa Ali Nyanya kata ya Ungalimited jijini Arusha ukiwa umefariki dunia.
Kichanga hicho kinadhaniwa kutekelezwa na mama yake mzazi mara tu baada ya kujifungua, baadhi ya wananchi wa eneo hilo wamelaani kitendo hicho cha kinyama na kikatili kinachofanywa na baadhi ya wanawake wasiokuwa na hofu ya Mungu ndani yao ambao wanakatisha uhai wa watoto hao ambao hawana hatia.
Mwenyekiti wa Mtaa huo Omari Shehe naye amelaani kitendo hicho na kuahidi kushirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha wanamtafuta muhisika ambaye amefanya tukio hilo la kinyama ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia hizo za kufanya uovu na ukatili huo.
Vitendo vya watu kutekeleza watoto vimekuwa vikishamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi huku wengi wakionekana kufanya ukatili huo kutokana na baadhi ya wanaume kukataa watoto au ujazito jambo ambalo hata hivyo halikubaliki.
Post A Comment: