Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo linaanza leo mkutano wake wa nane mjini Dodoma limetangaza ratiba yake ya kesho kwa kuanza kuapishwa kwa wabunge saba wa Chama Cha Wananchi CUF ambao wameteuliwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)


Kwa mujibu wa taarifa ya Bunge imesema kuwa katika bunge hilo la nane mbali ya kuapishwa kwa wabunge hao saba ambao wapo upande wa Profesa Lipumba lakini kutakuwa na miswaada mitatu ambayo inatarajiwa kusomwa.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: