Leo akiongea kutokea mahakamani na waandishi wa habari, Mwanasheria mkongwe na kada wa Chadema, Tundu lissu amesema kamwe hawezi kukubali kuteuliwa katika utawala wa kidikteta.
Amesema pia kwamba hawezi kuwa katika sehemu ambayo katiba ya nchi inakandamizwa na akiniteua ni mpaka abadilishe katiba ya nchi kwanza,
Ameongeza kwa kusema kwamba mghirwa ni CCM na sasa wanarudi walipotokea baada ya kuona mambo magumu kwao.
ACT wanateuliwa kwa sababu wao pia walikuwa ni CCM na sasa wanarejea walipokuwepo mwanzoni.
Post A Comment: