Akijibu swali na mwandishi wa habari juu ya maoni yake kwa uteuzi wa Magufuli kwa wapinzani
Lissu amesema ACT sio wapinzani, bali walianzishwa kkwa ajili ya kuuwa upinzani na sasa wanazawadiwa, Kitila Mkumbo na Anna Mghwira ni zawadi
Amedai serikali hawajawi kuwa na shida na ACT bali shida yake kubwa ni Chadema na CUF na hao wengine ni CCM wakiwa wamevaa magwanda tofauti
Post A Comment: