ads

Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia
maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: