Wakati wananchi
wakilalamikia fedha kutoweka mifukoni, Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan amesema Serikali inatumia Sh900 bilioni kati ya Sh1.33 trilioni
inazokusanya kila mwezi, kulipa madeni.
Alisema hayo wakati akifungua mkutano wa waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini mjini hapa jana.
Kauli
yake imekuja wakati kukiwa na mjadala kuhusu uchumi, baadhi ya watu
kusema hali inazidi kuwa mbaya wakati taasisi za Serikali zikitoa
takwimu zinazoonyesha kuwa uchumi uko imara.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: