Ndege za ATCL zinatarajiwa kuanza kusafirisha kuanzia Oktoba 15 mwaka huu.
ATCL
ambayo ina ndege tatu sasa hivi zitaanza safari za Mwanza, Arusha,
Zanzibar, Kigoma, Tabora, Mbeya, Mtwara, Kilimanjaro, Bukoba, Dodoma na
Mpanda.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo pia ndege hizo zitafanya safari kwenda Comoro, Nairobi na Entebbe.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: