Leo ikia ni siku ya maadhimisho ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere,Swahiba Media inakuletea hapa picha ambazo hujawai kuziona popote pale za Mwalimu Nyerere akiwa katika harakati zake mbalimbali.
Picha ya kwanza juu hapo ni Mwalimu Nyerere wakati wa uhai wake alipoenda kumjulia hali mama yake mzazi sambamba na mkewe Mama Maria Nyerere.
Picha ya pili hapo inaonyesha Mwalimu Nyerere akiwa katika moja ya shughuli zake za kila siku
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: