Kipa mkongwe nchini Ivo Mapunda, ambaye anasubiri kwenda kucheza soka
nchini Kenya, amesema kwa sasa hana kabisa mawazo ya kustaafu soka.
Ivo ametanabaisha kuwa bado ana nguvu hivyo kustaafu soka kwa sasa atakuwa hajakitendea haki kipaji chake.
“Kwa wale wanaotaka kujua nitastaafu lini, niwaambie tu wasubiri siku wakimuona Mugabe anaachia madaraka ndiyo na mimi nitaacha kucheza soka.”
“Kwa wale wanaotaka kujua nitastaafu lini, niwaambie tu wasubiri siku wakimuona Mugabe anaachia madaraka ndiyo na mimi nitaacha kucheza soka.”
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: