1.Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu
ndugu wengine wa Nyerere kwa Upande wa Baba!. ni Hawa Julius Kambarage
Nyerere (JK-Nyerere), Joseph Kizurira Nyerere (JK Nyerere), na John
Kiboko Nyerere (JK Nyerere), hawa ni ndugu wa Tumbo moja.
2.Kumbe Mwalimu alibahatika kusoma kwa bahati tuu!. Ndugu wengine wote kwa Baba, ukiachia wa tumbo la Mama yake, waliishia kuchunga mbuzi!.
3.Baba yake, alikataa Ukristo kata kata!. Wamishenari walipomshawishi kuachana na dini asili na kujiunga na Ukristo, aliwauliza Ukristo una nini ambacho dini za asili hazina!. Walimjibu, Upendo, Amani, Unyenyekevu, Utii, Haki etc, aliwajibu tena kwa mifano hai jinsi wanavyohubiri Upendo, Amani, Unyenyekevu, Utii na Haki.
4.Alianza shule akiwa na miaka 12, na darasani alikuwa na akili sana hivyo akarushwa baadhi ya madarasa!.
5.Akiwa Tabora School ndipo alipo pokea Ukristo kwa kubatizwa jina la Julius ambalo alilicopy toka kwa Julius Ceaser!
6.Akiwa Tabora School, alikuwa ni mtoto mkaidi sana!. Adui zake wakuu walikuwa ni ma prefects!.

7.Alishitakiwa mara kadhaa kwa mwalimu mkuu na ukafikia wakati Mwalimu Mkuu akamaamua Julius afukuzwe shule!. Mwalimu wake wa darasa licha ya utundu wake, alimpenda sana kwa sababu alikuwa na akili sana!. Hivyo akamnusuru kufukuzwa shule kwa kumfanya na yeye awe prefect!.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: