Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo
za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.
Watanzania walochukua tuzo za AFRIMA-2016
*Best Male East Africa.
Diamond Platnumz.
- Best Newcomer African.
Harmonize tz.
- DJ bora barani Africa.
DJ D Ommy.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: