Aliyewahi kuwa Meya
wa jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Masaburi alikuwa akipatiwa matibabu
hospitalini hapo, ambapo mpaka anafariki haijajulikana alikuwa
akisumbuliwa na maradhi gani.
Masaburi
pia aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki enzi za uhai wake. Aidha
katika Uchaguzi Mkuu uliopita aligombea ubunge Jimbo la Ubungo kwa
tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: