Chama cha Forum for Democratic Change kilitangaza hivi karibuni kwamba
kitaanzisha maadamano ya kupinga ushindi wa Rais wa Uganda Yoweri
Museveni kabla ya kuapishwa kwake Mei 12 2016.
Kufuatia
tangazo hilo serikali ya nchi hiyo imepiga marufuku ya kufanya
maandamano au kupinga ushindi wa mwezi Februari wa Rais Museveni
hadharani.
Kiongozi wa kambi ya upinzani ambaye alitarajiwa kuongoza maandamano amewekewa kizuizi tena nyumbani kwake na haruhusiwi kutoka nje.
Aidha Mji wa Kampala umezingirwa na wanajeshi huku vyombo vya habari vikiarifiwa kutokufanya matangazo ya moja kwa moja kuhusiana na kupingwa kwa ushindi wa Rais Museveni.
DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA

Post A Comment: